Wednesday, March 16, 2016
Nyumba ya Kamishna wa Jeshi la Polisi Zanzibar Hamdan Omar Makame imeripuliwa .
Kamishna wa Jeshi la Polisi Zanzibar Hamdan Omar Makame akizungumza
na waandishi wa Habari kuhusu matokeo ya uripuaji wa mabomu na kuchoma
moto nyumba na maskani za CCM Unguja na Pemba. Picha na Makame
Mshenga/Maelezo Zanzibar.Na Mwashungi Tahir na miza Kona - Maelezo
Zanzibar 15/03/2016Nyumba ya Kamishna wa Jeshi la Polisi Zanzibar
Hamdan Omar Makame imeripuliwa na kitu kinachosadikiwa kuwa ni bomu na
watu wasiojulikana majira ya saa 5.00 usiku huko Kijichi nje kidogo ya
mji wa Zanzibar.Akitoa taarifa kwa waandishi wa habari Ofisini kwake
Makao Makuu ya Polisi Kilimani,...
Labels:
SIASA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment