Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimuapisha Dkt. Mahadhi Juma Maalim kuwa Balozi wa Tanzania Ikulu jijini Dar es salaam leo January 30, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimkabidhi nyezo za kazi Dkt.
Mahadhi Juma Maalim baada ya kumuapisha kuwa Balozi wa Tanzania Ikulu jijini Dar es salaam leo January 30, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimuapisha Luteni Jenerali Venance Salvatory Mabeyo kuwa Mnadhimu Mkuu wa JWTZ Ikulu jijini Dar es salaam leo January 30, 2016
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
akimkabidhi nyezo za kazi Luteni Jenerali Venance Salvatory Mabeyo baada
ya kumuapisha kuwa Mnadhimu Mkuu wa JWTZ baada ya kumuapisha kuwa Balozi wa Tanzania Ikulu jijini Dar es salaam leo January 30, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimuapisha Kamishna wa Polisi Clodwig Mathew Mtweve kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Mwanza Ikulu jijini Dar es salaam leo January 30, 2016
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
akimkabidhi nyezo za kazi Kamishna wa Polisi Clodwig Mathew Mtweve bvaada ya kumuapisha kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Mwanza Ikulu jijini Dar es salaam leo January 30, 2016
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
akipokea saluti toka kwa Kamishna wa Polisi Paul Amani Moses Chagonja
kabla ya kumuapisha kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Katavi Ikulu jijini Dar es salaam leo January 30, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimuapisha Kamishna wa Polisi Paul Amani Moses Chagonja kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Katavi Ikulu jijini Dar es salaam leo January 30, 2016
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
akimkabidhi nyezo za kazi Kamishna wa Polisi Paul Amani Moses Chagonja baada ya kumuapisha kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Katavi Ikulu jijini Dar es salaam leo January 30, 2016
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
akiongea na Mnadhimu Mkuu wa JWTZ MStaafu Luteni Jenerali (Rtd) Samuel
Albert Ndomba baada ya shughuli ya kiapo Ikulu jijini Dar es salaam leo January 30, 2016
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
akifurhia jambo na Mnadhimu Mkuu wa JWTZ MStaafu Luteni Jenerali (Rtd)
Samuel Albert Ndomba baada ya shughuli ya kiapo Ikulu jijini Dar es salaam leo January 30, 2016
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue na viongozi wa Jeshi la
Wananchi na Jeshi la Polisi katika picha ya pamoja baada ya kuapishwa
Mnadimu Mkuu wa JWTZ, Balozi wa Tanzania Kuwait na Katibu Tawala wa
Mikoa ya Katavi na Mwanza Ikulu jijini Dar es salaam leo January 30, 2016
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
akimpongeza Kamishna wa Polisi Paul Amani Moses Chagonja baada ya kumuapisha kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Katavi Ikulu jijini Dar es salaam leo January 30, 2016
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
akimpongeza Luteni Jenerali Venance Salvatory Mabeyo baada ya
kumuapisha kuwa Mnadhimu Mkuu wa JWTZ baada ya kumuapisha kuwa Balozi wa Tanzania Ikulu jijini Dar es salaam leo January 30, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimpongeza Kamishna wa Polisi Clodwig Mathew Mtweve baada ya kumuapisha kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Mwanza Ikulu jijini Dar es salaam leo January 30, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimpongeza Dkt. Mahadhi Juma Maalim baada ya kumuapisha kuwa Balozi wa Tanzania Ikulu jijini Dar es salaam leo January 30, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na viongozi wa Jeshi la Wananchi na Jeshi la Polisi katika picha ya pamoja baada ya kuapishwa Mnadimu Mkuu wa TPDF, Balozi wa Tanzania Kuwait na Katibu Tawala wa Mikoa ya
Katavi na Mwanza Ikulu jijini Dar es salaam leo January 30, 2016
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
akipena mikono na Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange baada ya kuwaapisha Mnadimu Mkuu wa TPDF, Balozi wa Tanzania Kuwait na Katibu Tawala wa Mikoa ya Katavi na Mwanza Ikulu jijini Dar es salaam leo January 30, 2016
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
akipena mikono na Inspekta Jenerali wa Polisi Afande Ernest Mangu baada ya kuwaapisha Mnadimu Mkuu wa TPDF, Balozi wa Tanzania Kuwait na Katibu Tawala wa Mikoa ya Katavi na Mwanza Ikulu jijini Dar es salaam leo January 30, 2016
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
akiwa na Mnadhimu Mkuu wa JWTZ mpya Luteni Jenerali Venance Salvatory Mabeyo na Mnadhimu Mkuu wa JWTZ Mstaafu Luteni Jenerai (rtd) Samwel Ndomba Ikulu jijini Dar es salaam leo January 30, 2016
Mnadhimu Mkuu wa JWTZ mpya Luteni Jenerali Venance Salvatory Mabeyo na Mnadhimu Mkuu wa JWTZ Mstaafu Luteni Jenerai (rtd) Samwel Ndomba Ikulu jijini Dar es salaam leo January 30, 2016
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
akifurahia jambo na viongozi wa Jeshi la Wananchi na Jeshi la Polisi
baada ya kuwaapisha Mnadhimu Mkuu wa JWTZ, Balozi wa Tanzania Kuwait
na Katibu Tawala wa Mikoa ya Katavi na Mwanza Ikulu jijini Dar es
salaam leo January 30, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufulia akiongea na viongozi baada ya kuwaapisha Mnadimu Mkuu wa TPDF, Balozi wa Tanzania Kuwait na Katibu Tawala wa Mikoa ya Katavi na Mwanza Ikulu jijini Dar es salaam leo January 30, 2016
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
akiongea na Kamishna wa Polisi Paul Amani Moses Chagonja baada ya kumuapisha kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Katavi Ikulu jijini Dar es salaam leo January 30, 2016
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
akisalimiana na msemaji wa JWTZ Luteni Kanali Ngeleba Lubinga baada ya kuwaapisha Mnadimu Mkuu wa TPDF, Balozi wa Tanzania Kuwait na Katibu Tawala wa Mikoa ya Katavi na Mwanza Ikulu jijini Dar es salaam leo January 30, 2016
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
akisalimiana na Naibu Inspekta Jenerali wa Polisi Abdulrahman
Kaniki baada ya kuapishwa Mnadimu Mkuu wa TPDF, Balozi wa Tanzania
Kuwait na Katibu Tawala wa Mikoa ya Katavi na Mwanza Ikulu jijini Dar
es salaam leo January 30, 2016