ARUSHA JOURNALISM TRAINING COLLEGE

ARUSHA JOURNALISM TRAINING COLLEGE
CHUO BORA CHA UANDISHI WA HABARI TANZANIA

Wednesday, January 20, 2016

BALOZI WA NORWAY HAPA NCHINI AWATUNUKU WAHITIMU CHUO CHA UFUNDI ARUSHA


Balozi wa Norway nchini Tanzania,Hanne -Marie Kaarstad ambaye alikua mgeni rasmi katika Mahafali ya Saba ya Chuo chaUfundi Arusha (ATC) akiwatunuku Vyeti,Stashahada na Shahada wahitimu katika fani za Uandisi Umwagiliaji,Umeme,Ujenzi,Mawasiliano Anga ,Mitambo na Kompyuta Januari 16,2016.
Baadhi ya wahitimu wa fani ya Uandisi Mitambo wakifurahia mara baada ya kutunukiwa Stashahada zao.
Wahitimu wakifatilia kwa makini hotuba mbalimbali.
Balozi wa Norway nchini Tanzania,Hanne -Marie Kaarstad ambaye alikua mgeni rasmi katika Mahafali ya Saba ya Chuo chaUfundi Arusha(ATC) akiwa katika picha ya pamoja na wanachuo wanaobaki. 
Balozi wa Norway nchini Tanzania,Hanne -Marie Kaarstad (kulia)akipokea zawadi kutoka idara ya Uandisi Madini.
Balozi Hanne -Marie Kaarstad akifurahia kazi za wanachuo alipotembelea maonesho yaliyoandaliwa kwaajili yake. 
Wanachuo wanaobaki walionegesha mahafari hayo kwa bendera za kuvutia 
Balozi Hanne -Marie Kaarstad na Mkuu wa Chuo hicho,Dk Richard Massika aliyevaa tai nyekundu wakipata maelezo kwenye idara ya Umwagiliaji.
Furaha ya kuhitimu ilitawala 
Mkuu wa Chuo cha Ufundi Arusha(ATC)Dk Richard Massika(kulia)akifafanua jambo kwa mgeni rasmi. 
Balozi wa Norway ,Hanne -Marie Kaarstad (wa pili kushoto mbele)akiwa na wageni mbalimbali na Wakuu wa Idara mbalimbali za Chuo katika picha ya pamoja. 
Burudani kwa wahitimu ilikuwepo kunogesha mahafali hayo

No comments:

Post a Comment