ARUSHA JOURNALISM TRAINING COLLEGE

ARUSHA JOURNALISM TRAINING COLLEGE
CHUO BORA CHA UANDISHI WA HABARI TANZANIA

Wednesday, January 20, 2016

Ziara ya Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano,Profesa Makame Mbarawa Kukagua miradi inayotekelezwa na Wizara


 Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano,Profesa Makame Mbarawa akiweka saini kwenye kitabu cha kumbukumbu mara alipowasili Mkoani  Mtwara  kwa Ziara ya Kukagua miradi inayotekelezwa na Wizara hiyo,kulia ni Mkuu Mkoa wa Mtwara  Bi.Halima Dendegu na kushoto ni Katibu Mkuu sehemu ya Mawasiliano Prof.Faustin Kamuzora.
 Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano,Profesa Makame Mbarawa akikagua Mitambo ya Mawasiliano ya TTCL Mkoani Mtwara kulia ni  Mkurugenzi Mkuu wa TTCL Dkt.Kamugisha Kazaura na wadau wengine wa mawasiliano.
 Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano,Profesa Makame Mbarawa akizungumza na baadhi ya abiria wanaotumia kivuko cha Mv.Mafanikio kabala ya kuanza kwa safari kutoka Msangamkuu kwenda Msemo.
 Mojawapo ya Meli kubwa zinazotia nanga katika bandari ya Mtwara ikiwa tayari kwa kupakua mzigo.
 Mkuu wa bandari ya Mtwara Bw.Ogullo Peter akifafanua jambo kwa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano,Profesa Makame Mbarawa katika kikao kati ya Waziri huyo na wafanyakazi wa bandari Mtwara.
 Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano,Profesa Makame Mbarawa akisikiliza taarifa ya utekelezaji wa vivuko cha Mv.Mafanikio na Mv.Kilambo vinavyotoa huduma kati ya Msangamkuu - Msemo na Kilambo –Msumbiji kutoka kwa Kaimu meneja wa TEMESA mkoa wa Mtwara Bi.Engeltraud Mbemba
 Mkuu wa bandari ya Mtwara Bw.Ogullo Peter akifafanua jambo kwa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano,Profesa Makame Mbarawa katika kikao kati ya Waziri huyo na wafanyakazi wa bandari Mtwara.
Mkuu wa bandari ya Mtwara Bw.Ogullo Peter akifafanua jambo kwa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano,Profesa Makame Mbarawa katika kikao kati ya Waziri huyo na wafanyakazi wa bandari Mtwara

No comments:

Post a Comment