mbunge wa monduli bwana Julias Kallanga akiangalia mashamba yaliyoharibiwa na upepo mkali ulioharibu mashamaba haoy eneo la mto wa mbu mkoani Arusha. ameiomba serikali kutoa msaada wa chakula kwa kaya zaidi ya mia mbili ambazo zipo hatarini kukosa chakula kutokana na uharibifu huo |
No comments:
Post a Comment