Mjumbe
wa Kamati Tendaji ya Jumuiya ya Veterani wa Young Pioneers, Mhe.
Khadija Hassan Aboud akizungumza wakati wa hafla hiyo ya Uzinduzi wa
Jumuiya hiyo.
Katibu
Mkuu Wizara ya Ustawi wa Jamii Maendeleo ya Vijana Wanawake na Watoto
Mhe Asha Ali Abdalla akizungumza wakati wa hafla hiyo ya Uzinduzi wa
Jumuiya ya Veterani ya Umoja wa Vijana wa Young Pioneers, katika Ukumbi
wa ZSSF Kiwanja cha Watoto Kariakoo Zanzibar.
Waziri
wa Fedha Zanzibar Mhe Omar Yussuf Mzee akiwahutubia Veterani wa Jumuiya
ya Umoja wa Vijana wa Young Pioneers wakati wa Uzinduzi wa Jumuiya hiyo
uliofanyika katika Ukumbi wa ZSSFKiwanja cha Watoto Kariakoo Zanzibar.
na kutangaza Fedha zilizopatika katika harambee aliyoiazisha kwa ajili
ya kukuza Mfuko wa Jumuiya hiyo Jumla ya Shilingi Milioni 9,724,000/=
zimepatika ikiwa Fedha Taslimu Shs 3.874,500 na Ahadi Shs.5,850,000/=
Wanachama wa Jumuiya ya Veterani wa Young Pioneers wakimsikiliza mgeni rasmin akiwahutubia wakati wa Uzinduzi wa Jumuiya yao.
Veterani
wa Jumuiya ya Uomja wa Vijana wa Young Pioneers wakimsikiliza mgeni
rasmin wakati akiwahutubia na kuwazindulia Jumuiya yao.
Wazee
Maveterani wa Young Pioneers wakiwa meza kuu wakimsikiliza Mgeni rasmin
Mhe Omar Yussuf Mzee akiwahutubia wakati wa uzinduzi huo wa Jumuiya
hiyo uliofanyika katika Ukumbi wa ZSSF Kiwanja cha Watoto Kariakoo
Zanzibar.
Maveterani wakichangia katika harambee hiyo ya Uzinduzi wa Jumuiya hiyo
Maveterani wakichangia katika harambee hiyo ya Uzinduzi wa Jumuiya hiyo
Veterani
wa Umoja wa Vijana aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana
Tanzania Mhe Sukwa Said Sukwa akichangia katika harambee hiyo, ya
Uzimguzi wa Jumuiya hiyo.
Veterani
wa Young Pioneers Mhe. Aboud Talib Aboud akichangia wakati wa uzinduzi
wa Jumuiya hiyo. baada ya kuitishwa upato wa maridadi na kupatikana
shilingi milioni 9,724,000/= papo kwa papo wakati wa harambe hiyo ya
Veterani wa Young Pioneers.
Veterani
wa Young Pioneers Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe Abdalla Mwinyi
Khamis akichangia wakati wa uzinduzi wa Jumuiya hiyo.
Mjumbe
wa Kamati ya Jumuiya ya Veterani wa Umoja wa Vijana wa Young Pioneers
Meja Generali Mstaaf Hassan Vuai Chema, akitowa neno la shukrani kwa
Mgeni rasmin Waziri wa Fedha Zanzibar Mhe Omar Yussuf Mzee baada ya
kuwazinduliwa Jumuiya yao katika ukumbi wa ZSSF Kiwanja cha Watoto
Kariakoo Zanzibar.
Veterani wa Young Pioneers Makame Haji Makame (Cairo) akihamasisha kwa kuimbi wimba za
Vijana za wakati huo wa kuhamasisha vijana katika kujenga taifa wakati wa
uzinduzi wa Jumuiya hiyo katika ukumbi wa uwanja wa watoto kariakoo Zanzibar, kabla ya kuaza kwa kongamano la Jumuiya hiyo
Mwenyekiti
wa Kongamano hilo la Veterani wa Young Pioneers Mhe Aboud Talib Aboud
akiongoza kongamano hilo likizungumzia kumkomboa Kijana.katika kujiajiri
na kujiengezea kipato.na kuwa na maadili mazuri.
MTOA
Mada katika Kongamano hilo la Uzinduzi wa Jumuiya ya Maveterani ya Young
Pioneers Association Ndg Ali Khamis akitowa Mada kuhusu Wajibu kwa Kijana, kwa
wajumbe wa mkutano huo wa uzinduzi uliofanyika ukumbi wa kiwanja cha watoto
kariakoo Zanzibar
Veterani wa Young Pioneers wakimsikiliza Mtoa Mada juu ya Maendeleo ya Vijana katika kujikomboa Kiuchumi.
Maveterani
wa Umoja wa Vijana wa Young Pioneers wakipiga makofi wakati wa kuingia
mgeni rasmin Mhe Waziri wa Fedha Omar Yussuf Mzee kwa ajili ya uzinduzi
wa Jumuiya hiyo kuendeleza Vijana Zanzibar.
Maveterani
wa Umoja wa Vijana wa Young Pioneers wakipiga makofi wakati wa kuingia
mgeni rasmin Mhe Waziri wa Fedha Omar Yussuf Mzee kwa ajili ya uzinduzi
wa Jumuiya hiyo kuendeleza Vijana Zanzibar.
Ustadh
akisoma Quran kabla ya Uzinduzi huo wa Jumuiya ya Veterani wa Umoha wa
Vijana wa Young Pioneers uliofanyika katika ukumbi wa ZSSF kiwanja cha
Watoto Kariakoo Zanzibar.
Maveterani wa Young Poineers wa Umoja wa Vijna wakimsikiliza msoma quran wakati wa uzinduzi huo.
Katibu
wa Veterani wa Young Pioneers Said Shaban akitowa maelezo ya Jumuiya
hiyo ya Veterani wa Umoja wa Vijana wa Young Pioneers wakati wa Uzinduzi
wake uliofanyika katika Ukumbi ZSSF Kiwanja cha Watoto Kariakoo
Zanzibar.
Veterani wa Young Pioneers wakiwa katika ukumbi wa mkutano wakato wa Kongamano.
Mgeni
Rasmin Mhe Omar Yussuf Mzee akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa
Jumuiya ya Veterani wa Umoja wa Vijana Young Pioneers wa wakati huo wa
Umoja wa Vijana Zanzibar. Baada ya Kuizindua Jumuiya hiyo.
Imetayarishwa na OthmanMapara.Blogspot
No comments:
Post a Comment