Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano,Profesa Makame Mbarawa akiweka saini kwenye kitabu cha kumbukumbu
mara alipowasili Mkoani Mtwara kwa Ziara ya Kukagua miradi inayotekelezwa na
Wizara hiyo,kulia ni Mkuu Mkoa wa Mtwara
Bi.Halima Dendegu na kushoto ni Katibu Mkuu sehemu ya Mawasiliano Prof.Faustin
Kamuzora.
Waziri wa Ujenzi,
Uchukuzi na Mawasiliano,Profesa Makame Mbarawa akikagua Mitambo ya Mawasiliano
ya TTCL Mkoani Mtwara kulia ni Mkurugenzi
Mkuu wa TTCL Dkt.Kamugisha Kazaura na wadau wengine wa mawasiliano.
Waziri wa Ujenzi,
Uchukuzi na Mawasiliano,Profesa Makame Mbarawa akizungumza na baadhi ya abiria
wanaotumia kivuko cha Mv.Mafanikio kabala ya kuanza kwa safari kutoka
Msangamkuu kwenda Msemo.
Mojawapo ya Meli kubwa zinazotia nanga katika
bandari ya Mtwara ikiwa tayari kwa kupakua mzigo.
Mkuu wa bandari ya Mtwara Bw.Ogullo Peter akifafanua
jambo kwa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano,Profesa Makame Mbarawa
katika kikao kati ya Waziri huyo na wafanyakazi wa bandari Mtwara.
Waziri
wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano,Profesa Makame Mbarawa akisikiliza
taarifa ya utekelezaji wa vivuko cha Mv.Mafanikio na Mv.Kilambo
vinavyotoa huduma kati ya Msangamkuu - Msemo na Kilambo –Msumbiji kutoka
kwa Kaimu meneja wa TEMESA mkoa wa Mtwara Bi.Engeltraud Mbemba
Mkuu wa bandari ya Mtwara Bw.Ogullo Peter akifafanua
jambo kwa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano,Profesa Makame Mbarawa
katika kikao kati ya Waziri huyo na wafanyakazi wa bandari Mtwara.
Mkuu wa bandari ya Mtwara Bw.Ogullo Peter akifafanua
jambo kwa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano,Profesa Makame Mbarawa
katika kikao kati ya Waziri huyo na wafanyakazi wa bandari Mtwara.
No comments:
Post a Comment