Meneja Masoko wa Multichoice Tanzania, Furaha Samalu akiwaongoza
wanahabari kupata chai maalum iliyoandaliwa na kampuni hiyo kwa ajili ya
kuukaribisha mwaka mpya pamoja na kufahamiana zaidi ikiwemo huduma na
utendaji kazi kwa hapa nchini.
(Picha zote na Andrew Chale, modewjiblog).
Baadhi ya wanahabari wakiwa katika shughuli hiyo maalum
iliyoandaliwa kwa ajili yao na MultChoice Tanzania ambao ni wasambazaji
wa ving'amuzi vya DSTV kwa Tanzania.
Baadhi ya wanahabari wakipata Chai katika shughuli hiyo maalum
iliyoandaliwa kwa ajili yao na MultChoice Tanzania ambao ni wasambazaji
wa ving'amuzi vya DSTV kwa Tanzania.
Watendaji wa Multchoice Tanzania wakitoa shukrani zao kwa
wanahabari waliofika katika mwaliko maalum wa kuukaribisha mwaka pamoja
na kufahamiana zaidi halfa iliyofanyika mapema asubuhi ya leo katika
makao makuu ya kampuni hiyo jijini Dar es Salaam
No comments:
Post a Comment