Mkuu
wa Mkoa wa Mbeya Mh:Abbas Kandoro akizungumza na Waandishi wa Habari
hawapo Pichani nje ya Ukumbi wa Mkapa uliopo Sokomatola Jijini Mbeya
katika Semina ya Wadau wa Elimu wa Mkoa wa Mbeya na Mkowa wa Katavi
ambao wamekutana leo kuzungumzia juu ya Mbinu ambazo wanazitumia Mkoa
wa Katavi kufanikiwa kufaulisha Wanafunzi kwa Asilimia kubwa
kulinganisha na Mkowa wa Mbeya na Mikoa mingine.
Kutoka Kushoto ni Afisa Elimu Mkoa wa Mbeya Ndugu,Charles
Mwakalila na Afisa Elimu Mkoa wa Katavi Ndugu,Helenest Hinju
akizungumza na Wadau wa Elimu Mkowa wa Mbeya na Katavi hawapo Pichani
katika Semina ya Wadau wa Elimu iliyofanyika leo katika Ukumbi wa
Mkapa Jijini Mbeya.
Baadhi ya Wadau wa Elimu Mkowa wa Mbeya na Katavi wakisikiliza
kwa makini Semina hiyo ya siku mbili juu ya Mbinu za Ongezeko la
ufauru kwa Dalasa la Saba Mkoa wa Mbeya.
PICHA NA MR.PENGO GLOBU YA JAMII MBEYA
No comments:
Post a Comment